VIONGOZI WA KIDINI NA WANAHARAKATI WAMTAKA WAZIRI WA USALAMA WA NDANI KIPCHUMBA MURKOMEN KUJIUZULU
Wakizungumza na vyombo vya habari mjini Mombasa, viongozi hao pamoja na wanaharakati walisikitishwa na matukio ya mara kwa mara kuhusu usalama nchini pasi na...
Wataalamu wa Afya Waonya Dhidi ya Matumizi Mabaya ya Antibayotiki Nchini .
Watafiti wa masuala ya afya nchini wameonya kuhusu ongezeko la visa vya matumizi mabaya ya dawa za kuua bakteria (antibayotiki) bila ushauri wa daktari,...
Bunduki za Serikali Dhidi ya Raia Wake
Mwaka haujaenda mbali. Bado tuko Januari, lakini tayari taifa limeshuhudia visa zaidi ya vitatu vya raia kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi. Polisi ambao,...
ELIMU SIO MCHEZO WA PATA POTEA.
Elimu ni msingi wa maisha ya mwanafunzi na nguzo kuu ya maendeleo ya taifa lolote. Masaibu yanayowakumba wanafunzi wa Gredi ya kumi (10) kwa...
Waathiriwa wa Mkasa wa Boti Tudor Creek Bado Wanalia Haki
Ni miezi mitatu baada ya mkasa wa boti uliotokea katika eneo la Tudor Creek, Bahari Hindi, waathiriwa na familia za waliopoteza maisha bado wanalalamikia...
Ni Nini Wabunge Wengine Wanashindwa Kukifanya ?
Kwa miaka mingi wananchi wamekuwa wakiuliza Kazi ya mbunge ni ipi hasa? Je, ni kuhudhuria vikao vya Bunge pekee, au ni kuhakikisha maisha ya...
Ugatuzi Na Hali Halisi Kaskazini Mwa Kenya
Ugatuzi, kama ulivyowekwa katika Katiba ya Kenya ya mwaka 2010, haukuwa mapambo ya kisheria wala ahadi ya kisiasa. Ulilenga jambo moja kuu kupeleka maendeleo...
Dawa za Kulevya ni Janga la Dharura
Ama kweli, dawa za kulevya ni janga kubwa ambalo limekuwa likiisumbua nchi kwa muda mrefu sasa. Madhara yake ni mengi na yanajulikana bayana vijana...
CDF na Elimu: Wakati wa Kufunga Mlango wa Siasa Mashuleni
Kwa miaka mingi, elimu imekuwa silaha ya kisiasa. Wanasiasa wanapofika mashinani kuomba kura, huahidi bursaries, madarasa na misaada mbalimbali, kana kwamba elimu ni hisani...
Kenya Haitakuwa Singapore kwa Kodi, Bali kwa Uwajibikaji na Mifumo Imara
Kauli ya Rais kwamba serikali iko tayari kukusanya kiasi kikubwa cha fedha kwa lengo la kuibadilisha Kenya ifanane na Singapore si kauli ya kubezwa....
Polisi Wemefanikiwa Kuwakamata Washukiwa wa Wizi Kwenye Operesheni ya Usiku ...
Mombasa /KENYA
Polisi katika eneo la Likoni, Kaunti ya Mombasa, wamefanikiwa kuwakamata washukiwa wa wizi kufuatia operesheni ya usiku iliyoendeshwa baada ya kupokea simu ya...
Giza Lawaathiri Wakazi wa Mjambere, Uhalifu Waongezeka
Serikali ya kaunti ya Mombasa imehimizwa kushughulikia taa za barabarani msimu huu wa sherehe.
Wakizungumza na waandishi wa habari baada ya kufanya kikao na msimamizi...
Wanaotaka Kumrithi Raila wamefikia Kiwango Chake?
Tahariri ya leo inaona umuhimu wa kukumbushana misingi ambayo ilimtengeneza hayati raila Amollo odinga kuwa kiongozi aliyeheshimika ndani na nje ya mipaka ya Kenya.
Wale...
2027 Ni Mwaka Wa Kuamua Hatma ya Taifa Letu
Kadiri tunavyoelekea uchaguzi wa mwaka 2027, kila Mkenya anapaswa kusimama na kujiuliza swali moja rahisi lakini zito: “Ni kiongozi gani ninayestahili kumpa kura yangu,...
Kilio cha Mwananchi wa Kawaida: Ni Wapi Serikali Inakosea?
Kwa muda mrefu sasa, kumekuwa na mvutano wa kimtazamo kati ya serikali na wananchi kuhusu hali ya uchumi na kiwango cha maendeleo nchini. Serikali...














