Bunge La Nyamira Lamtema Gavana Nyaribo Kwa Mara Ya Tatu
Nyamira,KENYA
Bunge la Kaunti ya Nyamira limepitisha hoja ya kumwondoa mamlakani gavana wa Nyamira Amos nyaribo baada ya Wajumbe 23 wa Bunge hilo kupiga kura...
Uadilifu wa Uchaguzi Mashakani: Tuhuma Zinazopaswa Kuchunguzwa
Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeingia katika tuhuma kali mapema mno kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027.
Barua iliyotolewa na chama cha DCP ikiangazia...
Uchaguzi Ndogo na Sura Mpya ya Ubabe wa Kisiasa
Katika siku za karibuni, taifa limejionea mwenendo unaotia wasiwasi katika maandalizi ya uchaguzi ndogo katika maeneo mbalimbali ikiwemo Kasipul, Malava, Magarini, Ugunja, Baringo, Narok,...
Ni Lini Tutakuwa na Demokrasia ya Kweli?
Katika miaka ya karibuni, tumeshuhudia mataifa mengi ya Afrika yakifanya chaguzi lakini je, hizi kweli ni chaguzi za kidemokrasia, au ni tamasha la kisiasa...
Ni Nani Aliye na Njama Fiche Wenye Uajiri wa Makurutu wa Polisi
Mvutano unaoonekana kati ya idara ya usimamizi wa polisi ya kitaifa na ofisi ya inspekta mkuu wa polisi ambapo kukiwa na utata juu ya...
Viongozi Waache Maneno Matupu Wafanye Kazi
TAHARIRI: WAKATI WA VIONGOZI KUACHA MANENO, WAFANYE VITENDO
Ni wakati sasa wa viongozi wetu kuacha siasa za maneno matupu na kujikita kwenye utendakazi. Kila baada...
Wananachi Tujitafakari Tunapoelekea 2027
Leo, kama taifa, ni lazima tujiite kamkutano. Tujichune masikio, tujifurukute mioyo, na tujiulize: tunataka nini kama taifa? Ni kiongozi wa aina gani tunayemhitaji tunapoelekea...
Madini Ya Dhahabu Ya Kakamega Yawe Baraka Isiwe Laana
Habari za kupatikana kwa madini ya thamani, hasa dhahabu, katika Kaunti ya Kakamega zimeibua matumaini makubwa miongoni mwa wananchi na serikali. Wengi wanaona huu...
Kampeni ya “Panda Miti Okoa Uhai” Yaendeleza Uchangishaji ya Wahanga wa vita Palestinaa
Mashirika ya kijamii na kidini yakishirikiana na Serikali ya Kaunti ya Mombasa yameendelea kutekeleza kampeni ya huruma kwa watu wa Palestina kupitia mpango unaoitwa...
Je,vita Dhidi Ya Ufisadi Bado Viko?
Serikali ilipotangaza kuanza rasmi vita dhidi ya ufisadi, Wakenya wengi walipata matumaini mapya. Rais mwenyewe akatangaza na kuahidi hadharani kwamba hatalegeza kamba katika mapambano...
Bunge Na Miswada Ya Kulinda Wananachi
Leo nimeamua kuzamia kwenye Bunge letu la Kitaifa taasisi ambayo kwa miaka mingi imekuwa ikitajwa kama nguzo kuu ya demokrasia na utawala wa sheria...
Kiburi Cha Mamlaka Ni Dalili za Udikteta Mpya
Huenda wengine wakasema Kenya haina tatizo la ukoloni mamboleo, lakini ishara za hatari hii zimeanza kujitokeza waziwazi. Wakati taifa letu likijigamba kwa demokrasia, ukweli...
KAMATI YA MOMBASA YA VOICE FOR PALESTINE KUANDAA MATEMBEZI NA UPANDAJI MITI KWA AJILI...
Kamati ya Voice for Palestine (VFP) ya Mombasa imetangaza mpango wa kufanya matembezi ya mshikamano na shughuli ya upandaji miti kwa ajili ya kuwaunga...
MAHAKAMA KUU YASITISHA UTEKELEZWAJI WA SHERIA YA MATUMIZI YA MTANDAO.
Jaji wa Mahakama Kuu Lawrence Mugambi alisimamisha utekelezaji wa baadhi ya vifungu muhimu vya Sheria vilivyowekwa saini na Rais William Ruto katika ikulu ya...
Matamshi ya Gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga
Katika taifa linalodai kuwa la kidemokrasia, lenye katiba ya mwaka 2010 iliyojaa maneno matamu kuhusu utu wa binadamu, usawa wa raia na mshikamano wa...














