Tundu Lissu Ndiye Kiongozi Mpya Wa Upinzani Nchini Tanzania
Dar es Salaam, TANZANIA
Tundu Lissu amechukua usukani wa kuongoza chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema.
Lissu amemng'oa madarakani Freeman Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho...
Athari Za Trump Kuiondoa Marekani Katika Shirika La Afya Duniani WHO
Washington, MAREKANI
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini amri ya kuanza mchakato wa kuiondoa Marekani kuwa mwanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO).
"Hili ni...
Profesa Kithure Kindiki Ndiye Naibu Rais Mpya Wa Kenya
Nairobi, KENYA
Aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani nchini Kenya Profesa Kithure Kindiki ameapishwa rasmi kuwa naibu rais mpya wa Kenya.
Kithure Kindiki anachukua mahala pake...
Mahakama Yasimamisha Makubaliano Ya Ketraco Na Adani
Nairobi, KENYA
Mahakama Kuu jijini Nairobi imesimamisha makubaliano kati ya Kampuni ya Usambazaji Umeme ya Kenya (KETRACO) na Adani Energy Solutions, ambayo ni kampuni ya...
Rais William Ruto: Mahakama Kuu Hazifai Kusikiliza Kesi Za Kumuondoa Rigathi Gachagua Madarakani
Nairobi, KENYA
Wakili wa Rais William Ruto ameambia mahakama kuu kwamba anamwakilisha mteja wake aliyesema Mahakama kuu ya Kenya haina mamlaka ya kusikiliza na kuamua...
Rais William Ruto Aongoza Makala Ya 61 Ya “Mashujaa Day” Kaunti Ya Kwale
Kwale, KENYA
Rais William Ruto Jumapili Oktoba 20, 2024 aliongoza Wakenya wakati wa sherehe za 61 za Mashujaa katika Uwanja mpya wa michezo katika Kaunti ya...
Mahakama Yasitisha Hatua Ya Kumuondoa Rigathi Gachagua Ofisini
Nairobi, KENYA
Mahakama kuu imesitisha kwa muda hatua ya bunge la Seneti kuidhinisha mashtaka ya kumuondoa madarakani Rigathi Gachagua.
Uamuzi huo umetolewa muda mfupi tu baada...
Rais Ruto Amteua Profesa Kithure Kindiki Kuwa Naibu Rais
Nairobi, KENYA
Rais William Ruto amemteua Waziri wa Usalama wa Ndani Profesa Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais baada ya Rigathi Gachagua kuvuliwa mamlaka na bunge...
Maseneta Nchini Kenya Wamuondoa Afisini Naibu Wa Rais Rigathi Gachagua
Nairobi, KENYA
Maseneta wa Kenya wamepiga kura ya kumuondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua ofisini licha ya kushindwa kutoa ushahidi wake katika kesi ya kumuondoa madarakani...
Naibu Wa Rais Rigathi Gachagua Augua Ghafla Na Kulazwa Hospitalini, Bunge La Seneti Likiendelea...
Nairobi, KENYA
Naibu rais Rigathi Gachagua amelazwa hospitalini baada ya kuugua ghafla wakati kesi kuhusu hoja ya kumuondoa mamlakani ilipokuwa ikiendelea katika bunge la Seneti.
Wakili...
Bunge la Bunge La Seneti Kenya Kupiga Kura Kuhusu Hoja Ya Kumuondoa Madarakani Naibu...
Nairobi, KENYA
Bunge la Seneti nchini Kenya linatazamiwa kupiga kura Alhamisi Oktoba 17, 2024 kuamua iwapo litamuondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua mamlakani katika mchakato wa...
Bunge La Seneti Lasikiliza Kesi Ya Kumuondoa Rigathi Gachagua
Nairobi, KENYA
Bunge la Seneti nchini Kenya limeanza hatua ya mwisho ya kusikiliza kesi ya mchakato wa kutaka kumuondoa mamlakani Naibu Rais Rigathi Gachagua.
Wiki iliyopita...
Kenya Kutuma Maafisa 600 Zaidi Wa Usalama Haiti
Nairobi, KENYA
Kenya itatuma maafisa 600 zaidi wa polisi nchini Haiti mwezi ujao kuunga mkono mpango wa kimataifa wa kuimarisha usalama nchini humo.
Rais William Ruto...
Mapigano Yaendelea Gaza, Idadi Ya Waliouawa Ikifikia elfu 42
Gaza, PALESTINE
Mapigano yanaendelea huko Gaza, ikiwa ni pamoja na Jabalia kaskazini, ambapo vifaru vya Israel na wanajeshi wanafanya operesheni ya ardhini.
Katika taarifa Alhamisi, jeshi...
Bunge Lote La Seneti Kusikiliza Hoja Ya Kumuondoa Mamlakani Naibu rais Rigathi Gachagua
Nairobi, KENYA
Bunge la Seneti limetupilia mbali pendekezo la kuunda kamati maalum ya watu 11 kuchunguza mashtaka ya hoja iliyopitishwa na bunge ya kum-bandua mamlakani...